ALICHOONGEA MESSI LEO, KATIKA PRESS
Messi: “ Nilishawishiwa kusalia hapa BARCELONA, Hapa ni nyumbani, nyumbani kwetu. Ilikua ni moja ya mikakati yangu ila leo nasema KWAHERI baada ya muda mrefu nkiwa hapa.
Kuhusu PSG niseme inawezekama, ila mpaka sasa hakuna chochote kilichokamilika wala kukamilika, Nimepokea na ninapokea simu nyingi baada ya BARCELONA kutoa statement yao, Ila bado tunaongelea kuhusu ilo,
Niliamini kila kitu kipo tayari na makubaliano yamemalizika ila chaajabu mwisho kabisa ikawa haiwezekani, ila ni kutokana na masuala ya LA LIGA
Siwezi nkaiongelea sana BARCA, Laporte alisema hawataweza kutokana na sheria za LA LIGA, Ila niseme nilifanya kila niwezavyo ili ingewezekana nibaki hapa
Nina huzuni saaana kwasababu sikuhitaji kuondika, naipenda BARCELONA nilihitaji nibaki na mkataba wangu ulikua tayari ila mwisho haikuwezekana japo nilifanya jitihada nyingi
Hiki ni kipindi kigumu kwangu hasa katika maisha yangu ya soka, nilikua nna mazito mengi, na matukio mengi magumu na mengi yaliniumiza lakini nilirudi mazoezini nikafanya mazoezi nakulipiza kisasi, ila kwasasa siwezi tena na ndio kinaniumiza
Hakuna tatizo na BARCELONA, tena hili ni kweli kabisa, nilikua sawa na timu kwa kila jambo, tulikua tukikubaliana kila kwa kila jambo, ila sheria za LA LIGA ndio tatizo
Habari kuhusu kuombwa kupunguziwa mshahara wangu mpka 30% si kweli ni uongo, niliombwa kupunguza kwa 50% na baada ya hapo sikuombwa wala kuulizwa chochote

Maoni
Chapisha Maoni