Messi: “ Nilishawishiwa kusalia hapa BARCELONA, Hapa ni nyumbani, nyumbani kwetu. Ilikua ni moja ya mikakati yangu ila leo nasema KWAHERI baada ya muda mrefu nkiwa hapa. Kuhusu PSG niseme inawezekama, ila mpaka sasa hakuna chochote kilichokamilika wala kukamilika, Nimepokea na ninapokea simu nyingi baada ya BARCELONA kutoa statement yao, Ila bado tunaongelea kuhusu ilo, Niliamini kila kitu kipo tayari na makubaliano yamemalizika ila chaajabu mwisho kabisa ikawa haiwezekani, ila ni kutokana na masuala ya LA LIGA Siwezi nkaiongelea sana BARCA, Laporte alisema hawataweza kutokana na sheria za LA LIGA, Ila niseme nilifanya kila niwezavyo ili ingewezekana nibaki hapa Nina huzuni saaana kwasababu sikuhitaji kuondika, naipenda BARCELONA nilihitaji nibaki na mkataba wangu ulikua tayari ila mwisho haikuwezekana japo nilifanya jitihada nyingi Hiki ni kipindi kigumu kwangu hasa katika maisha yangu ya soka, nilikua nna mazito mengi, na matukio mengi magumu na men...